Magazeti ya Leo Sept 24 2018.

Good Morning karibu uyatazame Magazeti ya Leo Jumatatu September 24 2018.   Facebook Comments

Facebook Comments

Read More

Bocco mchezaji wa kwanza kufikisha magoli 100 TPL.

Goli la pili la klabu ya Simba lililofungwa na mshambuliaji John Bocco katika Dakika ya 45 Simba ikishinda goli 3-1 dhidi ya mwadui linamfanya mshambuliaji huyo kuweka historia ya kuwa mchezaji wa kwanza kufikisha magoli 100 Ligi kuu Tanzania bara. Ushindi wa Simba dhidi ya Mwadui pale Kambarage Shinyanga niwakuwapa imani mashabiki wa klabu hiyo Baada ya kupoteza dhidi ya Mbao mchezo wao uliopita. Matokeo kamili Ligi kuu Tanzania bara Leo kabla ya Mechi ya Yanga dhidi ya Singida United.    Facebook Comments

Facebook Comments

Read More

Klopp kuhusu jeraha la Van Dijk.

Kocha wa Liverpool Jurgen Klopp amesema kwamba jeraha alilopata beki Virgil Van Dijk sio kubwa na atakuwa sawa sawa. Beki huyo wa kimataifa wa Uholanzi aliumia kwenye mechi dhidi ya Soton na nafasi yake kuchukuliwa na Joel Gomez kipindi cha pili. Klopp aliulizwa baada ya mechi kuhusu VVD, “ Tayari alikuwa na mchubuko kwenye mbavu kabla ya mechi dhidi ya PSG , na ameumia tena sehemu ile ile leo.” “ Sio kitu kizuri lakini sio jeraha kubwa. Matumaini yangu kwamba atakuwa sawa kabisa. Sijasikia bado kitu chochote tofauti.” Facebook Comments

Facebook Comments

Read More

Baada ya injinia Cherehani kupatikana akiwa hai idadi ya waliosalimika imeongezeka kuwa 41

  Stori ipo kwenye instagram ya jembe fm. (G.Sengo) Bofya link kuisoma full stori. View this post on Instagram 🛑….Baada ya injinia Cherehani kupatikana akiwa hai idadi ya waliosalimika imeongezeka kuwa 41. Idadi ya watu waliopoteza maisha katika ajali ya Kivuko cha MV Nyerere sasa imefikia 218. Waliotambulika ni 172 na ambao hawajatambuliwa na ndugu zao ni 46 Kwamujibu wa Mkuu wa Mkoa wa Mwanza John Mongella, amesema kwa sasa taratibu mbalimbali zinaendelea kufanyika ikiwa ni pamoja na jitihada za kukinyanyua kivuko hicho kazi ambayo itafanywa na timu ya waokoaji…

Facebook Comments

Read More

Ruvu wapapaswa square.

Kwenye Uwanja wa Mabatini mkoani Pwani mpira umemalizika na Ruvu Shooting ‘ wamepapaswa tena ‘ wamepoteza mchezo mwingine nyumbani kwa kufungwa bao 1-0 na Wagosi wa Kaya Coastal Union. Matokeo kamili Ligi kuu Tanzania bara Leo.  Facebook Comments

Facebook Comments

Read More

Wana Man u oneni mipango ya Barcelona.

Klabu ya Barcelona inajipanga kutuma wawakilishi wake kumuangalia kiungo Paul Pogba katika kila mechi atakayocheza msimu huu katika harakati zao za kutaka kumsajili kwenye kipindi kijacho cha majira ya kiangazi.       Kiongozi wa juu wa Barca Pep Segura na Kiongozi wa Ufundi Eric Abdial na Ramon Planes wapo karibu na mipango hii wakielekea kutenga zaidi ya £100 milioni ili kumnasa Nyota huyo wa kifaransa. Miamba hiyo ya soka ya Spain walituma wawakilishi kumtazama kwenye mechi ya UEFA katikati ya wiki na wanampango wa Kufanya hivyo msimu Mzima. Barcelona…

Facebook Comments

Read More

Aguero Ndoa yake na City Mpaka 2021.

Straika wa Manchester City Sergio Aguero amesaini mkataba mpya wa mwaka mmoja wa kuendelea kukipiga ndani ya klabu hiyo ya Etihad mpaka mwaka 2021. Aguero mwenye umri wa miaka 30 alijiunga na City mwaka 2011 kwa dau la Pauni Milioni 38. Na Muargentina huyo amekuwa nguzo muhimu katika mafanikio ya City kwa kuchangia kutwaa mataji matatu ya Ligi kuu na mataji matatu ya Carabao. Aguero ndio mfungaji bora wa magoli wa muda wote wa Man City , akiweka kambani magoli 204 pamoja na goli mashuhuri dhidi ya QPR mwaka 2012…

Facebook Comments

Read More

BOBI WINE : “Nimekuja Kuendeleza Nilipoishia…Nipo Tayari kufa kwa sababu ya Uhuru Wetu “

BOBI WINE Tayari Yupo Nchini Uganda na licha ya kwamba Jeshi la Polisi lilijitahidi kuweka ulinzi wa kutosha ili wafuasi wake wasiandamane katika mapokezi yake, bado kulikuwa na makundi ya watu ambao yaliwapa wakatik mgumu polisi pamoja na vyombo vya usalama Nchini humo Kuna vitu VITANO vya Msingi ambavyo tumevinyaka katika Siku ya jana ambayo “waganda” wengi waliiona kuwa siku ambayo “inadamshi” kulingana na hali halisi, lakini pia macho na masikio yote yalikuwa makini kujua ni kitu gani kitatokea. MATUMIZI YA “FIMBO” KWA WANACHI WALIOKIUKA Wananchi na Wafuasi ambao kwa…

Facebook Comments

Read More

Idadi ya Vifo yaongezeka katika ajali ya Mv Nyerere.

Taarifa kutoka kisiwani Ukerewe zinasema hadi kufikia Saa 5 Asubuhi ya Leo September 21 2018 Idadi ya watu walioopolewa wakiwa wamefariki katika ajali ya Ferry ya Mv Nyerere  ni watu 94 huku  zaidi ya 40 wakiwa hai. Endelea kukaa nasi kwa taarifa zaidi. Facebook Comments

Facebook Comments

Read More

Hatimaye Ex wa Kaligraph Jones, CASHY amempata Shujaa Mpya anayeifanya Roho yake Kuwa Mpya …Huyu Hapa !!!!

“MICASA SUCASA” ni moja kati ya “mkwaju” ambao ulitambulisha Rasmi mahaba mazito yaliyokuwepo baina ya Rappers wawili kutoka nchini Kenya, na hapa tunamzungumzia KALIGRAPH JONES “Papa Jones” pamoja na Bibie CASH Mahaba hayo yaliendelea kuchukua nafasi kubwa katika vyombo mbali mbali vya habari na hasa katika Mitandao ya kijamii kutokana na namna ambavyo walikuwa wakionekana kupendana na hata ukaribu wao kiujumla, kama mnavyojua mahaba yakinoga wazee wa kazi !!!! Lakini baada ya Muda kadhaa, hakukuwa tena na taarifa za kuzungumzia mahusiano yao ya kimapenzi, na hata Kaligraph alipokuwa akiulizwa kuhusu…

Facebook Comments

Read More