Point mbili zaibeba Tanzania nafasi ya pili kwenye kundi Afcon.

TANZANIA imelazimisha sare ya 0-0 na wenyeji, Uganda katika mchezo wa Kundi L kufuzu Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika mwakani nchini Cameroon jioni ya leo Uwanja wa Mandela, Namboole mjini Kampala.

 

Okwi alitolewa kumpisha Lwanga Wilison.  

The Cranes inabaki juu kwenye msimamo wa Kundi L ikifikisha pointi nne baada ya kucheza mechi mbili wakati Taifa Stars inaokota pointi ya pili tu katika mechi yake ya pili, wote wakiwa wamecheza nyumbani na ugenini.

Related posts