Vettel “adui anaenibania kushinda Formula One”

Dereva wa timu ya Ferrari Sebastian Vettel amejiita “Adui mkubwa” katika harakati za kupambania taji la Formula One dhidi ya Lewis Hamilton wa Mercedes. Vettel wikendi hii atakuwa katika vita ya kushindana katika mashindano ya Singapore Gp huku akiwa na mzigo wa kupunguza point 30 alizopitwa na mpinzani wake Lewis Hamilton wa Mercedes katika msimamo wa madereva.       Sebastian Vettel katika jezi ya Ferrari  Inaeleweka Ferrari wana magari ya kasi kuliko Mercedes na wanapewa nafasi ya kushinda wikendi hii na Vettel anaamini wana nafasi kubwa ya kuwa Mabingwa msimu…

Facebook Comments

Read More

VIDEO: DMK Aeleza historia ya 2Pac, ikiwa leo ni siku ya kumbukumbu ya kifo chake !

Tarehe kama ya leo,Tupac Amaru Shakur, anaefahamika kwa jina la stage 2Pac,  alifariki dunia Septemba 13, 1996. 2 Pac alizaliwa June 16, 1971, East Harlem, New York City, New York, United States, Tazama video kwa stori zaidi na DMK. Facebook Comments

Facebook Comments

Read More

ROSA REE – ” Ukiridhika na Maisha yako, ndoto zako utabaki kuziota tu”

TANGU muda mrefu kidogo kumekuwa na changamoto kubwa ya kuwepo kwa Rappers wa Kike katika Industry ya muziki wa Kizazi kipya, kitu ambacho kimewafanya wasanii kadha wa kadha wa kike kujitutumua na hata kufanya vizuri katika Muziki wa Hip Hop. Wasanii kadhaa pia wa kike tumekuwa tukiwaona wakiendelea kujitokeza licha ya kuwepo kwa changamoto kadhaa ambazo wamekuwa wakizitaja mara kwa mara, kuwa ndizo zinazowavunja moyo katika kuendelea kufanya vizuri katika Soko la Muziki huu. Rapper Rosa Ree “the Godess” ni mmoja kati ya Rappers ambao wamekuja vizuri na kuendelea kuimarisha…

Facebook Comments

Read More

Mbona mtu akifia kitandani anafanya mapenzi hamchomi kitanda?

Hoja mbalimbali zinaendelea kutolewa na Wabunge pale Dodoma katika mkutano wa Bunge na hoja hizo kupatiwa majibu na mawaziri wanaosimamia wizara husika moja Kati ya hoja iliyoibuliwa bungeni ni kutoka kwa Mbunge wa Konde Khatibu Saidi Haji Kuhusu maabusu kufia mikononi mwa polisi. Mbunge Khatibu Saidi alikuwa akimlenga Waziri wa mambo ya ndani Kangi Lugola atoe majibu akimweleza hata siku za Karibuni wananchi wamekuwa wakisusia kuzika maiti za watu wanaofia katika vituo vya polisi.     Waziri Lugola  Waziri Lugola kwa upande wake kwanza amekemea tabia ya wananchi kuchukua maamuzi…

Facebook Comments

Read More

Furaha ya Odinga kukutana na Kufuor.

Kiongozi wa upinzani nchini Kenya Raila Amolo Odinga ameonyesha Furaha yake kukutana na Rais wa zamani wa Ghana John Kufuor mjini Accra jana jioni kuelekea katika mazishi ya Annan Leo. Odinga kushoto kulia ni Kufuor.  Odinga kupitia mtandao wake wa Twitter ametupia picha inayomuonesha yeye na Kufuor na kuandika ujumbe wa furaha yake hiyo. Leo viongozi mbalimbali na maelfu ya watu wanajumuika na familia ya marehemu Koffi Annani pale Ghana  katika kumpumzisha kwenye makazi yake ya milele Kiongozi huyo wa zamani wa umoja wa mataifa. Facebook Comments

Facebook Comments

Read More

Kusugua benchi kwa Dybala kwa mliza Zamparini.

Mshambuliaji wa Juventus Paulo Dyabala ataondoka katika klabu hiyo mwezi January  kutokana na uwepo wa vilabu vinavyo muhitaji toka England na Spain kwa mujibu wa mmiliki wa klabu ya Palermo Maurizio Zamparini. Dyabala Mchezaji huyo alianza katika mchezo wa Kwanza wa Serie A Msimu huu Juve ikicheza na Chievo na hakucheza katika mchezo ambao Juve ilishinda 2-0 dhidi ya Lazio, huku akipata dakika 10 tu za kucheza akitokea benchi wakishinda goli 2-1 dhidi ya Parma. Zamparini aliyehusika katika uhamisho wa Dybala akitokea Palermo na kujiunga Juve Mwaka 2015 anamlaumu Kocha…

Facebook Comments

Read More