VIDEO: DMK Aeleza historia ya 2Pac, ikiwa leo ni siku ya kumbukumbu ya kifo chake !

Tarehe kama ya leo,Tupac Amaru Shakur, anaefahamika kwa jina la stage 2Pac,  alifariki dunia Septemba 13, 1996. 2 Pac alizaliwa June 16, 1971, East Harlem, New York City, New York, United States, Tazama video kwa stori zaidi na DMK.

Facebook Comments

Related posts