Jembe Habari Ya Saa Kumi leo

Muhtasari Jembe Habari SAA KUMI LEO 14.09.2018 IJUMAA Waziri Mkuu Kasim Majaliwa amesema Rais John Magufuri katika kipindi chake cha Miaka Mitatu ya uongozi amefanikiwa kuimarisha Nidhamu,uadilifu uwajibikaji ndani ya utumishi wa Umma   Bondia mtanzania Hassan Mwakinyo aliyeibuka na ushindi ndondi baada ya kumchapa mpinzani wake raia wa Uingereza Sam Eggington, amepata mwaliko rasmi katika Bunge la Tanzania, hii leo   Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Nchini (TAKUKURU) imewataka aliyekuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili Klabu ya Simba, Zacharia Hans Pope na Frankline Lauwo kujisalimisha katika ofisi…

Facebook Comments

Read More

Swala la Rashford Kusugua benchi United liko hivi hayo mengine mnasema nyie.

Baada ya mechi za kimataifa vyombo vya habari nchini Uingereza vilikuwa vinadai kwamba Marcus Rashford hapati dakika nyingi za kucheza ndani ya kikosi cha Man United chini ya Mourinho na anatakiwa kuangalia mustakabali wake ili aendelee kucheza vizuri ndani ya kikosi cha England kama alivyofanya dhidi ya Hispania na Uswisi. Leo kwenye mahojiano na vyombo vya habari , Mourinho inaonekana alijiandaa kuhusu hilo swali na amewapa jibu hili : ” Akiwa na mimi kama kocha wake katika misimu miwili , amecheza mechi 105 , dakika 5,744 , wastani wa mechi…

Facebook Comments

Read More

Chelsea walichezea “shilingi chooni”.

Nyota wa klabu ya Paris Saint Germain Kylan Mbappe alishawahi kufanya majaribio katika viunga vya Cobham mwaka 2012 lakini The Blues wakashindwana na mama yake baada ya kutaka afanyiwe tena majaribio. Kwa sasa bwana mdogo Kylan Mbappe kashonyesha uwezo mkubwa akifanikiwa kuchuka Ligue 1 mara mbili pamoja na vikombe vingine vya nyumbani pale Ufaransa, Lakini alikuwa pia sehemu ya mafanikio ya Ufaransa kubeba kombe la dunia nchini Urusi.  Mbappe akiwa na Pogba Uwezo wake mkubwa uwanjani unamfanya kuwa mchezaji mwenye thamani ya juu PSG wakimchukua kwa njia ya mkopo Baadae inawagharimu…

Facebook Comments

Read More