Jembe Habari Ya Saa Kumi leo

Muhtasari Jembe Habari SAA KUMI LEO 14.09.2018 IJUMAA

Waziri Mkuu Kasim Majaliwa amesema Rais John Magufuri katika kipindi chake cha Miaka Mitatu ya uongozi amefanikiwa kuimarisha Nidhamu,uadilifu uwajibikaji ndani ya utumishi wa Umma

 

Bondia mtanzania Hassan Mwakinyo aliyeibuka na ushindi ndondi baada ya kumchapa mpinzani wake raia wa Uingereza Sam Eggington, amepata mwaliko rasmi katika Bunge la Tanzania, hii leo

 

Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Nchini (TAKUKURU) imewataka aliyekuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili Klabu ya Simba, Zacharia Hans Pope na Frankline Lauwo kujisalimisha katika ofisi zake au kituo cha polisi kujibu tuhuma zinazowakabili.

 

Kansela wa Ujerumani Angela Merkel na viongozi wa vyama vingine viwili vinavyounda serikali ya mseto walifanya mazungumzo ya dharura kujadili hatma ya mkuu wa shirika la ujasusi Hans-Georg Maassen.

Unaweza kusikiliza Taarifa ya Habari hapo chini kwa kubofya iliyo somwa na Elikana Mathias

 

Facebook Comments

Related posts