UTEUZI

September 20, 2018 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh Dr. John Magufuli amemteua Balozi Mstaafu Ali Idi Siwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF).

Uteuzi wa Balozi Mstaafu Ali Idi Siwa umeanza leo tarehe 20.09.2018

 

 

Facebook Comments

Related posts