Bocco mchezaji wa kwanza kufikisha magoli 100 TPL.

Goli la pili la klabu ya Simba lililofungwa na mshambuliaji John Bocco katika Dakika ya 45 Simba ikishinda goli 3-1 dhidi ya mwadui linamfanya mshambuliaji huyo kuweka historia ya kuwa mchezaji wa kwanza kufikisha magoli 100 Ligi kuu Tanzania bara.

Ushindi wa Simba dhidi ya Mwadui pale Kambarage Shinyanga niwakuwapa imani mashabiki wa klabu hiyo Baada ya kupoteza dhidi ya Mbao mchezo wao uliopita.

Matokeo kamili Ligi kuu Tanzania bara Leo kabla ya Mechi ya Yanga dhidi ya Singida United. 

 

Related posts