Washindi Tuzo za FIFA 2018.

Tuzo za FIFA 2018 Zimetolewa katika hafla iliyofanyika katika Jiji la London Uingereza na Washindi wa Tuzo hizo ni hawa hapa.

Luka Modric amechukua tuzo ya mchezaji bora FIFA 2018 akiwapiku Ronaldo na Mo Salah.

Marta mwanamke wa Kibrazili amechukua Tuzo ya mchezaji bora wa kike wa mwaka.

Kocha wa Timu ya Taifa ya Ufaransa Didier Deschamp amechukua Tuzo ya Kocha Bora.

Goli la Mosalah dhidi ya Everton limekuwa Goli Bora la mwaka huku mashabiki bora wa mwaka Tuzo ikienda kwa Mashabiki wa Peru.

Related posts