Huyu nae kwenye mawindo Madrid.

Rais wa klabu ya Real Madrid Florentino Perez ametuma maombi ndani ya klabu ya Lyon ya kutaka kunasa saini ya nahodha wake Nabil  Fekir dirisha la usajili la Januari 2019. Fekir ambaye alionesha kiwango cha juu kwenye mechi ya Ligi ya mabingwa Ulaya dhidi ya Manchester City alishindwa kuhamia Liverpool majira ya kiangazi baada ya uhamisho wake kugonga mwamba . Perez anataka kuimarisha zaidi eneo la ushambuliaji hasa baada ya kupata ripoti kutoka kwa kocha wake Julien Lopetegui kwamba anamuhitaji mfaransa huyo.

Read More

Ugunduzi: Mwanafunzi wa Namibia agundua simu isiyotumia vocha wala laini

Simon Petrus Mwanafunzi wa Sekondari nchini Namibia, amegundua simu isiyotumia vocha wala kadi, kijana huyo  ameuelezea ugunduzi wake kuwa unatumia mawimbi ya redio na hauhitaji kuwa na ‘simcard na airtime’. Simon amesema ugunduzi huo  umetumia miaka 2 kukamilika ambapo ametumia  mabaki ya simu na runinga zilizoharibika. Wazazi wake ambao hawana ajira kwa sasa walihangaika kumsaidia kijana wao ili akamilishe mradi huo uliogharimu kiasi cha zaidi ya Shilingi za Kitanzania Milioni Nne. Simon petrus aliyekaa katikati

Read More