Huyu nae kwenye mawindo Madrid.

Rais wa klabu ya Real Madrid Florentino Perez ametuma maombi ndani ya klabu ya Lyon ya kutaka kunasa saini ya nahodha wake Nabil  Fekir dirisha la usajili la Januari 2019.

Fekir ambaye alionesha kiwango cha juu kwenye mechi ya Ligi ya mabingwa Ulaya dhidi ya Manchester City alishindwa kuhamia Liverpool majira ya kiangazi baada ya uhamisho wake kugonga mwamba .

Perez anataka kuimarisha zaidi eneo la ushambuliaji hasa baada ya kupata ripoti kutoka kwa kocha wake Julien Lopetegui kwamba anamuhitaji mfaransa huyo.

Related posts