ABIRIA AIRPORT MWANZA KUANZA KULIPIA ULINZI

 

Mamlaka ya Viwanja vya Ndege #Tanzania (TAA) kuanzia Oktoba Mosi itaanza kutoza tozo ya ulinzi TZS 11,425 ($5) kwa wasafiri wa nje, na 4,570 ($2) kwa wasafiri wa ndani ili kuimarisha ulinzi na usalama katika viwanja vikubwa. Hatua hiyo imekosolewa kuwa, huenda ikapunguza wateja.

Facebook Comments

Related posts