Hazard aweka ngumu Klopp nje Carabao Cup.

Emerson na Hazard wamepeleka kilio kwa vijana wa Jurgen Klopp ndani ya Anfield mechi ya kombe la Carabao.

Danny Sturridge kafunga goli la kufutia machozi : Chelsea wanasonga mbele , Liverpool wanabaki nyumbani.

Endapo Klopp angepata ushindi ungekuwa ushindi wake wa nane mfululizo lakini uwezo binafsi wa Hazard aliyetokea benchi kuchukua nafasi ya Willian ukaisaidia The Blues kupata ushindi wa goli 2-1 ugenini.

 

Related posts