Afisa Masoko: Jembe Media Ltd, akikabidhi zawadi ya daftari kwa mwanafunzi.

Hiki ndo kinachoendele katika viwanja vya shule ya sekondari Loreto ambapo @jembefm inaendelea kutoa zawadi za madaftari kwa ajili ya masomo . Ni katika kuonesha nia ya dhati ya kuisaidia jamii katika nyanja mbalimbali ikiwemo elimu .

Related posts