Darajani Liverpool leo kurudia ya mwaka 1991 au?

Ligi kuu soka nchini England inaendelea Leo tukishuhudia viwanja takribani 8 vikitimka vumbi michezo ikianza kupigwa kwanzia majira ya saa 8:30 mchana.

Mchezo wa saa 8:30 ni ule utakao pigwa pale Katika uwanja wa London Stadium nyumbani kwa Westham United  wakiikaribisha Manchester United vilabu vyote hivi viwili vinatoka kupata point 1 Kila mmoja Katika mechi zilizopita, United waki sare na Wolves wakati Westham akisare na Chelsea.

Mbali na Mchezo huo Ratiba kamili Leo.

Mchezo mkali kabisa ni Chelsea akiwa Darajani akiikaribisha Liverpool ambapo leo wageni wanatafuta kushinda mechi ya saba mfululizo kwa mara ya mwisho kufanya hivyo ilikuwa msimu wa 1990-91.

Related posts