RWANDA NA ISRAEL ZAFUNGUA UKURASA MPYA WA KIDIPLOMASIA

Serikali ya Israeli 🇮🇱 imekubaliana na Rwanda 🇷🇼 kufungua ubalozi wake jijini Kigali hivi karibuni katika jitihada za kuimarisha mahusiano baina yao.
Kauli hii ilifikiwa katika mkutano wa faragha kati ya rais wa Rwanda Paul Kagame na waziri mkuu wa Israeli Benjamin Netanyahu kandokando ya mkutano mkuu wa mataifa wanachama wa Umoja wa Mataifa UN huko New York Marekani. #rwanda #israel 📸:Paul Kagame.

#Chanzobbcswahili

Related posts