Baada ya ushindi wa matajiri wa Jiji la Paris, PSG wa leo hii dhidi ya Nice Katika Ligi kuu ya soka Ufaransa sasa wamefikia rekodi ya kushinda mechi 8 za kwanza mfululizo
Wameicharaza Nice 3-0 kwa magoli mawili ya Neymar na moja la Christopher Nkunku.