Watu zaidi ya mia tatu wapoteza maisha ,ni baada ya kuibuka kwa tsunami.

Takribani watu 384 wamethibitishwa kufariki baada ya tsunami kubwa iliyosababishwa na tetemeko la aridhi kuikumba pwani ya Indonesia,
Mashuhuda katika eneo la Sulawesi wanasema mawimbi yenye kimo cha mita tatu hivi yalikumba maeneo yaliyo karibu na ufukwe wa bahari na kusababisha uharibifu mkubwa wa miondo mbinu
Jeshi la taifa hilo limeanza mikakati ya uokoaji huku idadi ya waliofariki ikitarajiwa kuongezeka.

Related posts