HALI SI SHWARI NI KWA WAKIMBIZI WA VISIWA VYA UGIRIKI BAADHI WAHOFIWA KUJIUA

Maelfu ya wahamiaji walio kwenye makambi yaliyojaa katika visiwa vya Ugiriki wanasubiri kwa wasiwasi majira ya baridi hali ambayo tayari imewafanya baadhi ya watu hao kujaribu kujiua. Hata wale waliomo kwenye orodha ya kuhamishwa kupelekwa bara baada ya mashirika yasiyo ya kiserikali kufichua hali duni katika kambi hizo wanaomba na kujenga matumaini kwamba safari yao iwe kabla ya mvua za msimu hazijaanza na kuigeuza kambi yao kuwa dimbwi la matope. Mkimbizi mmoja mwenye umri wa miaka 53 Jamal ambaye anaishi kwenye kambi ya Moria katika kisiwa cha Lesbos anauliza kwa…

Read More

Darajani Liverpool leo kurudia ya mwaka 1991 au?

Ligi kuu soka nchini England inaendelea Leo tukishuhudia viwanja takribani 8 vikitimka vumbi michezo ikianza kupigwa kwanzia majira ya saa 8:30 mchana. Mchezo wa saa 8:30 ni ule utakao pigwa pale Katika uwanja wa London Stadium nyumbani kwa Westham United  wakiikaribisha Manchester United vilabu vyote hivi viwili vinatoka kupata point 1 Kila mmoja Katika mechi zilizopita, United waki sare na Wolves wakati Westham akisare na Chelsea. Mbali na Mchezo huo Ratiba kamili Leo. Mchezo mkali kabisa ni Chelsea akiwa Darajani akiikaribisha Liverpool ambapo leo wageni wanatafuta kushinda mechi ya saba…

Read More

Alichokisema Baba yake Ngasa kulekea Mechi ya watani wa jadi.

Homa ya pambano la watani wa jadi Simba na Yanga Jumapili inazidi kupanda ambapo kwa sasa mashabiki pande zote mbili wamekuwa wakijinadi Kila mmoja kumchara mwenzake siku hiyo. Mtangazaji wa michezo Jembe FM Boniphace Allen “Fundi” kulia ni Mzee Khalifani Ngasa  Tumekutana na Baba mzazi wa Nyota wa Yanga Mrisho Ngasa anayejulikana kama Khalifan Ngasa “Babu” nakuzungumza nae kuelekea mechi hiyo. Swali- kipi unaweza sema juu ya mtoto wako kuelekea mechi ya jumapili? . Babu-Kikubwa namtakia acheze Vizuri asifanye makosa yatakayo pelekea timu yake kufungwa. Khalifani Ngasa enzi za ujana…

Read More

Hatimaye moto uliozuka Mlango mmoja umedhibitiwa kwa asilimia 90:

Kamanda wa Jeshi la polisi mkoani Mwanza Jonathan Shana, amesema wamefanikiwa kuuzima moto uliozuka mapema leo Sept 28 2018 na kuteketeza vibanda vya wafanyabiashara wa nguo na viatu katika soko la mitumba la mlango mmoja jijini Mwanza kwa asilimia tisini. Miongoni mwa changamoto walizokumbana nazo wakati wa zoezi la uzimaji moto ni njia ya kupitisha magari ya zima moto kutokana na eneo hilo  kubanana sana.          Jonathan Shana (Kamanda wa Polisi Mwanza) Kamanda shana ameongeza kuwa  katika zoezi la uzimaji wa moto waliimarisha Usalama, na hakuna mtu…

Read More

MAHAKAMA YA JUU ZAIDI NCHINI INDIA YAAMUA KUWA UZINZI SI KOSA LA KIHALIFU

– Imesema sheria hiyo imekuwa ikiwakandamiza Wanawake na kuwafanya kana kwamba wao ni mali ya Wanaume – Kabla ya uamuzi huo, Mwanaume yeyote aliyeshiriki tendo la ndoa na Mwanamke aliyeolewa bila idhini ya Mume wake alikuwa ametenda kosa la uhalifu – Jaji Mkuu, Dipak Misra amesema japo sheria hiyo inaweza kutumiwa kutatua masuala ya kijamii kama vile kuachana kwa Mume na Mke lakini “haiwezi kuwa kosa la uhalifu” kwani mahusiano nje ya ndoa ni suala binafsi kati ya watu wazima – Sheria hiyo ya Kikoloni iliyodumu kwa miaka 158 ni…

Read More

kuna wa kuivunja hii record Jumapili.

Alhaj Abdallah Athumani Seif ‘King Kibaden Mputa’ alizaliwa Oktoba 11, 1949 katika mtaa wa Kiburugwa, Mbagala uliyopo jijini Dar es Salaam. Abdallah Kibaden (katikati) akiwa katika benchi la wachezaji wa Simba katika moja ya mechi za timu hiyo miaka ya 90. Kulia ni Kocha Msaidizi Etinne Eshete na kushoto ni Daktari Msemakweli Akiwa na miaka 20 tu, Alhaj Abdallah Athumani Seif ‘King Kibadeni’ alijiunga na Simba SC , iliyokuwa ikiitwa Sunderland. Mnamo Julai 19, 1977 ndipo aliingia katika vitabu vya kumbukumbu na hii ilikua ni katika mechi dhidi ya watani…

Read More