MBUNGE BWEGE MATATANI KWA KUANDAA MKUTANO BILA KIBALI

Mbunge wa jimbo la Kilwa kusini (CUF) Suleiman Bungara maarufu kama Bwege amejikuta matatani baada ya kukamatwa na jeshi la polisi kwa tuhuma za kuandaa mkutano bila kibali cha polisi. Mkutano huo alikuwa aufanye katika eneo la Maalim Seif Square wilayani Kilwa – Aidha, inadaiwa kuwa pamoja nae Madiwani watano(CUF), Katibu wa Mbunge huyo(Deo Chaurembo), Mkurugenzi wa Siasa wa CUF na Mwenyekiti wa Halmashauri ya Kilwa nao pia wamekamatwa Facebook Comments

Facebook Comments

Read More

RAISI MAGUFULI ATEMBELEA SOKO LA FERI AAHIDI KUJENGA OFISI YA WAJASIRIAMALI

Facebook Comments

Facebook Comments

Read More

Mbao yapapaswa Mabatini, Mtibwa washika Usukani

TIMU ya Mtibwa Sugar imerejea kileleni mwa Ligi Kuu ya Tanzania Bara baada ya ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Biashara United katika mchezo uliofanyika mchana wa leo Uwanja wa Manungu, Turiani mkoani Morogoro mchana wa leo.Ushindi huo unaifanya Mtibwa Sugar inayofundishwa na mchezaji wake wa zamani, Zuberi Katwila ifikishe pointi 16 baada ya kucheza mechi nane, ikifuatiwa na Mbao FC yenye pointi 14 za mechi saba na Yanga SC pointi 13 za mechi tano.Mabao ya Mtibwa Sugar katika mchezo wa leo yamefungwa na Salum Kihimbwa dakika ya 41 na…

Facebook Comments

Read More

WACHORA VIBONZO KWA SURA ZA VIONGOZI NCHINI RWANDA KUKIONA

Nchini Rwanda sheria mpya ya makosa ya jinai imeanza kutumika. Miongoni mwa makosa hayo ni kosa la kudhalilisha viongozi wa serikali kwa kutumia maandishi au kuchora vibonzo. Mchoraji atahukumiwa kifungo cha hadi miaka miwili gerezani na faini ya dola takriban elfu moja na mia tano. Kosa la kudhalilisha rais wa nchi hiyo mhusika atahukumiwa hadi miaka 7 gerezani na faini isiyopungua dola elfu 8. Waandishi wa habari wameingiwa na wasiwasi Facebook Comments

Facebook Comments

Read More

Pacha waliofanyiwa upasuaji kutenganishwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) wanaendelea vizuri.

Pacha waliofanyiwa upasuaji kutenganishwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) wanaendelea vizuri Kulwa na Doto Michael walizaliwa Julai 12 kwa njia ya kawaida katika kijiji cha Vigwaza mkoani Pwani, wakiwa wameungana sehemu ya tumbo. Upasuaji wa watoto hao ambao wote na wavulana ulifanyika Septemba 22 mwaka huu ukihusisha jopo la madaktari bingwa wa upasuaji 10. Akazungumza na waandishi wa habari leo Jumatatu Oktoba Mosi 2018, Ofisa Uhusiano Msaidizi MNH, John Steven amesema afya za pacha hao zitaendelea kuimarika kama ilivyo hivi sasa huenda wakaruhusiwa muda wowote. Facebook Comments

Facebook Comments

Read More

MAPATO SIMBA NA YOUNG AFRICANS MILIONI 404,549,000

MAPATO SIMBA NA YOUNG AFRICANS MILIONI 404,549,00 Mchezo namba 72 wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara(TPL) kati ya Simba na Young Africans uliochezwa Jumapili Septemba 30,2018 Uwanja wa Taifa umeingiza jumla ya shilingi milioni 404,549,000. Mchezo huo ulioanza saa 11 jioni umeingiza jumla ya Watazamaji 50,168. Mgawanyo wa mapato hayo ni kwenye upande wa VAT,Selcom,TFF,Uwanja,Simba,TPLB,gharama za mchezo,BMT na DRFA. Kati ya fedha hizo VAT ambayo ni asilimia 18 ni shilingi milioni 61,710,864.41,Selcom milioni 17,901,293.25. Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) milioni 16,246,842.12,Uwanja milioni 48,740,526.35. Wenyeji wa mchezo Simba milioni…

Facebook Comments

Read More

Mbao kupapaswa Mabatini Leo?

Mara baada ya kushuhudia watani wa jadi Simba na Yanga wakikutana wikendi hii na wakigawana point 1 Kila mmoja baada ya kutoka sare ya 0-0. Michuano hiyo ya Ligi kuu soka Tanzania Bara inaendelea kwa michezo 6 kupigwa Katika viwanja tofauti na moja Kati ya Mechi Kali ni pale Katika uwanja wa Mabatini mkoani Pwani ambapo wenyeji Ruvu wanaikaribisha Mbao na Wageni wakishinda Leo wanazidi kujikita kileleni kwa alama 17. Ratiba kamili Leo Katika Ligi kuu.   Facebook Comments

Facebook Comments

Read More

Macedonia imeshindwa kubadilisha jina la nchi hiyo na kuitwa Macedonia ya Kaskazini baada ya kura zilizopigwa katika maeneo mengikukataa kitendo hicho

Kura hizo zimekua pungufu ya asilimia 50 ambazo zilikua zikihitajika ili kuweza kufanikisha suala hilo, hii ikitajwa kuchagizwa na kampeni zilizofanywa na wanaharakati wa upinzani kupinga jambo hilo. Jina ambalo lilipendekezwa lilikua ni kwa ajili ya kumaliza mgogoro uliodumu kwa miongo kadhaa dhidi ya nchi ya Ugiriki, ambayo imeifanya Macedonia kushindwa kuwa mwanachama wa Umoja wa Ulaya sambamba na NATO. Waziri Mkuu wa Macedonia Zoran Zaev amahidi kwamba ataendelea na juhudi zake za kulibadili jina rasmi la taifa hilo. Matokeo hayo yazirudisha nyuma jitihada za waziri mkuu wa Macedonia Zoran…

Facebook Comments

Read More

Maradona “Messi asirudi timu ya Taifa”

Lejendari wa timu ya Argentina Diego Maradona amemshauri Lionel Messi kustaafu kuitumikia timu ya taifa moja kwa moja kutokana na hali isiyoeleweka kuhusiana na hatima ya Star huyo wa Barcelona Katika taifa lake. Messi na timu yake ya taifa walikuwa kwenye hali ngumu ya kimaelewano na Katika Kombe la Dunia wakijikuta wanatotupwa nje Katika hatua ya 16 bora wakicheza Katika kiwango hafifu Katika michuano hiyo. Hali hiyo ikamgharimu Jorge Sampaoli kuachia ngazi kuifundisha timu hiyo, huku Messi hakujumuishwa Katika vikosi viwili vilvyo teuliwa na Kocha wa muda Lionel Scaloni. Wakati…

Facebook Comments

Read More

Magazeti: October 1 2018

Ni October 1 2018 Karibu Katika Kurasa za Magazeti ya Leo. Facebook Comments

Facebook Comments

Read More