Mke wa Rais wa Marekani (Donald Trump), amewasili Nchi Ghana.

Mke wa rais wa Marekani Donald Trump amewasili Ghana ,katika hatua ya kwanza ya ziara yake ya kwanza barani Afrika. Melania alizuru hospitali ya watoto ya Accra na akaahidi ufadhili kupitia kwa USAID. Melania atasalia Ghana kwa siku mbili kabla ya kuelekea Malawi Kenya na kisha Misri Facebook Comments

Facebook Comments

Read More

Taarifa kutoka TFF “hakuna mabadiliko Ligi”.

Taarifa kutoka TFF Kuhusu kutoa wasiwasi wadau soka kwamba hakuna mabadiliko ya Ratiba ya Ligi kuu soka Tanzania Bara kutokana na Michezo ya Stars ya kuwania kufuzu AFCON 2019. Facebook Comments

Facebook Comments

Read More

Rabiot awakomalia matajiri wa Paris.

Adrien Rabiot amekataa ofa ya tatu kutoka Paris Saint-Germain  yenye thamani ya Pauni Milioni 6.4 kwa mwaka .  Mkataba wa Rabiot unafikia tamati mwishoni mwa msimu huu na amekataa ofa tatu tofauti tofauti kutoka PSG za kusaini mkataba mpya . Barcelona ni moja ya klabu inayowinda saini ya kiungo huyo wa kimataifa wa Ufaransa na Rabiot yupo huru kufanya mazungumzo ya uhamisho na klabu nyingine ikifika mwezi Januari. Facebook Comments

Facebook Comments

Read More

Necta yafuta matokeo ya darasa la 7 katika baadhi ya shule nchini.

Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA) limetangaza kufuta matokeo ya mitihani darasa la 7 katika shule zote zilizopo wilaya za Chemba Pia baadhi ya shule wilaya ya Kondoa, Kinondoni, Mwanza jiji na Ubungo, kwa kosa la kuhusika na kuvujisha mitihani ya darasa la 7. Aidha kufuatia tukio hilo  Serikali imewasimamisha kazi maafisa elimu na taaluma wa wilaya za Chemba na Kondoa pamoja na waratibu wa elimu Walimu wakuu wa shule za msingi kutoka wilaya hizo kwa tuhuma za kuvujisha mitihani. Mitihani hiyo itarudiwa tarehe 8 na 9 mwezi huu wa…

Facebook Comments

Read More

Waliokufa kwa Kimbunga na Tsunami nchini Indonesia wafikia 1200.

Idadi ya watu waliofariki katika kisiwa cha Sulawesi, ambacho kimeharibiwa vibaya kwa kimbunga na tsunami mwishoni mwa juma lililopita nchini Indonesia imefikia 1200. Vikosi vya uokoaji vinaendelea na juhudi za kutafuta watu waliokwama katika majumba makubwa katika mji wa Palu huku uwezekano wa kuwapata wakiwa hai ukiendelea kupungua. #indonesia #tsunami #palu #prayforindonesia – #chanzobbcswahili Facebook Comments

Facebook Comments

Read More

Mke wa Trump atembelea Afrika.

Mke wa Rais wa Marekani Melania Trump hapo jana aliondoka Marekani kuja barani Afrika, hii ikiwa ziara yake ya kwanza ya kigeni bila ya kuandamana na mumewe Rais Donald Trump. Bi Trump anatarajiwa kuzizuru Ghana, Malawi, Kenya na Misri akitumai kuangazia masuala ya watoto. Msemaji wake Stephanie Grisham amesema ziara ya Melania barani Afrika itakayokamilika Jumapili hii ni ya kidiplomasia na kibinadamu, akiangazia kampeni yake kuhusu maslahi ya watoto ijulikanayo BeBest. Trump amewaambia wanahabari kuwa mkewe anafanya ziara kubwa Afrika, akiongeza wote wawili wanaipenda Afrika kwani Afrika ni kuzuri kuliko…

Facebook Comments

Read More

Mourinho “kuna wachezaji hawajali hali ya timu”.

Kwa sasa hali si shwari pale Old Trafford ambapo Kocha Jose Mourinho amekuwa akiwatupia maneno wachezaji wake ambapo ameweka wazi kwamba kuna wachezaji wanasumbuka kuisaidia klabu Katika kipindi hiki kigumu na kuna ambao hawafanyi hivyo. Manchester United mpaka sasa wapo nafasi ya 10 ya msimamo Katika Ligi kuu na Matokeo ya kufungwa 3-1 na Westham Wikendi ilyopita yakizidi kumuumiza Kocha huyo wa Kireno. Baada ya kufanya vibaya na kuambulia kichapo hicho kuna wachezaji wanaonekana chanzo cha Tatizo na hasa anatajwa Paul Pogba amabaye maelewano yake na Mourhno sio mazuri. Na…

Facebook Comments

Read More

Magazeti Oktoba 2 2018

Good morning Karibu upitie kurasa za magazeti ya Leo Oktoba 2 2018 Kurasa za mbele na nyuma. Facebook Comments

Facebook Comments

Read More