Mnaowaza Mourinho kutimuliwa mwenyewe anawaza hili.

Jose Mourinho anahitaji kuungwa mkono kwenye kipindi cha usajili ili aendelelee kukijenga kikosi cha Manchester United.

Mlinzi wa kati wa Slovakia na klabu ya Inter, Skriniar na Mlinzi toka Ac Milan, Ramagnoli walikuwa wakifuatiliwa na United kabla ya klabu hiyo kuwageukia Jerome Boateng na Harry Maguire.

Ila bado Skriniar na Ramagnoli ni chaguo la kwanza kwa Kocha huyo wa United ambaye amekuwa akihusishwa kutimuliwa pale Old Trafford.

Facebook Comments

Related posts