MSIGWA APIGWA STOP, NI KUFANYA MIKUTANO JIMBONI KWAKE

Jeshi la Polisi Wilaya ya Iringa limemzuia Mbunge wa Iringa Mjini (CHADEMA), Mchungaji Peter Msigwa kuendelea na mikutano ya kisiasa kwa kutoa maneno ya kashfa, uchochezi na yanayoashiria uvunjifu wa amani.

Facebook Comments

Related posts