WAKAZI WATISHIA KUPONDA MAWE VIVUKO, NI KULIKOTOKEA AJALI YA MV NYERERE.

Wakazi wa Kisiwa cha Ukara wilayani Ukerewe mkoani Mwanza wamegoma kupanda vivuko vya MV Sabasaba na MV Ukara, na kutishia kuviponda mawe kwa kile wanachodai kuwa na mashaka juu ya usalama wa vivuko hivyo.

Facebook Comments

Related posts