Jeshi la Amunike lawasili salama Cape Verde kwaaajili ya vita ya Tarehe 12.

Kikosi cha soak cha timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars)  kimewasili salama nchini Cape Verde kwaaajili ya Mchezo na Taifa hilo kwenye michuano ya kuwania kufuzu AFCON 2019 Mchezo utakaopigwa October 12.

Stars iliondoka kwa ndege alfajiri ya leo kwenda nchini kwaajili ya Mchezo huo wa Tarehe 12 na Taarifa nzuri ni kwamba timu imewasili salama salmini.

Cape Verde na Tanzania Zipo Kundi L ambapo Tanzania anapoint 2 kwenye Kundi Sawa na Lesotho huku Cape Verde inapointi moja tu kwenye Kundi huku anaaengoza Kundi ni Uganda mwenye point 4.

Endapo Tanzania itafuzu kwenye michuano hii basi itakuwa Mara ya kwanza tangu 1980 kushiriki michuano iliyofanyika kipindi hicho nchini Nigeria.

Facebook Comments

Related posts