WAZIRI WA FEDHA AFRIKA KUSINI AACHIA NGAZI, NI BAADA YA KUANDAMWA NA KASHFA YA RUSHWA

Waziri wa fedha wa Afrika Kusini Nhlanhla Nene alijiuzulu wadhifa wake hapo jana baada ya kukubali kuwa aliwahi kukutana na familia ya Gupta ambayo inakabiliwa na mashtaka ya rushwa. Rais Cyril Ramaphosa amekubali uamuzi wa waziri huyo ili kulinda maslahi ya serikali. Nene alikutana na wanafamilia wa Gupta katika vikao vya biashara zao nyumbani kwao ndani ya mwaka 2009 na 2014. Je hii ni njia mpya ya kufanya mambo Afrika Kusini?
#chanzobbcswahil

Facebook Comments

Related posts