JEMBE HABARI – 19/10/2018

Facebook Comments

Facebook Comments

Read More

Kauli ya Rais magufuli juu ya milioni 50 alizotoa kwa ajili ya Stars.

Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dk John Magufuli amekutana na timu ya taifa ya soka Taifa Stars ikulu jijini Dar es Salaam. Rais Magufuli amekabidhi fedha tasilimu shilingi milioni 50 kama alivyoahidi kwaajili ya kusaidia maandalizi ya Taifa Stars kuelekea mchezo wake wa Kufuzu Afcon dhidi ya Lesotho. Amesisitiza kuwa atafuatilia matumizi ya fedha hizo, na hataki visingizio bali ushindi kwa timu ya taifa.    Facebook Comments

Facebook Comments

Read More

Lakers wacharazwa na Mfalime James akiwepo.

Msimu mpya wa NBA umeanza rasmi ni siku ya Tatu Sasa michuano hiyo inashika mechi Kali Alfajiri ya leo ni ile iliyopigwa pale Moda Center ikiwa kutanisnisha wenyeji Trail Blazers dhidi ya Lakers. Huu ni mchezo wa kwanza kwa King James ama Lebron James anacheza Katika NBA na timu yake mpya ya Lakers lakini mwisho wa siku kilio kilikuwa kwao Baada ya kucharazwa kwa points 128 kwa 119. Mchezaji aliyeongoza kuwamaliza Lakers ni Damian Lillard ambaye yeye pekee kapachika points 28 Katika dakika 35 alizocheza. Mbali na kupoteza mchezo lakini…

Facebook Comments

Read More