Ajali ya Helicopter Mbali na kumchukua mmiliki wa Leicester City imeondoka na Mrembo.

Baada ya kuthibitishwa kifo cha bilionea wa Kithailand na mmiliki wa Klabu ya Leicester City Vichai Srivaddhanaprabha ambae alifariki kutokana na ajali ya Helicopter iliyotekea Jumamosi nje ya uwanja wa King Power Stadium waliofariki wengine wametambulika.

Mmoja Wapo wa waliofariki ni Mrembo Nusara Sukinamai ambaye alishawahi kushiriki mashindano ya Miss Thailand Universe.

Baadhi ya wadau wametoa salamu zao za rambirambi kuhusu kifo Cha Vichai ambaye pia alikuwa ni Mwenyekiti wa Leicester City.

“Ulikuwa mtu wa kufariji Kila mtu pasipo wezekana kuwezekana” Maneno ya kipa wa Leicester City, ¬†Schmeichel.

Related posts