WANAOSAMBAZA VIDEO NA PICHA ZA NGONO KUKIONA

 

Mamlaka ya mawasiliano nchini (TCRA) imeapa kula sahani moja na wale wote wanaosambaza video au picha za ngono katika mitandao ya kijamii.

Mamlaka hiyo imesisitiza kuchukua hatua kali kwa yeyote atakayebainika kutenda makosa hayo.

Hatua hii inakuja ikiwa ni siku chache tangu kusambaa kwa video ya msanii Wema Sepetu pamoja na ya binti mwingine maarufu kwa jina la Amber rutty zenye maudhui ya ngono.

Related posts