Baada ya kusambaza vipigo hatimaye Raptors akutana na kisiki.

Baada ya kuanza Msimu huu wa mpira wa kikapu nchini Marekani NBA vizuri kwa kugawa dozi kwa kila timu iliyokuwa inawasogelea Hatimaye Raptors wamepatikana baada ya kucharazwa kwa alama 109-124 dhidi ya Bucks.

Kabla ya mchezo huu alifajiri ya leo Raptors walikuwa wamecheza mechi sita za awali bila kupoteza lakini pia ni ushindi wa saba mfululizo kwa klabu ya Bucks.

Matokeo mengine ya NBA Leo 

Related posts