Kuelekea mchezo na Lipuli leo Taifa Yanga anabebwa na rekodi hizi mbili.

Yanga Katika michezo yao yote waliyohesabika kuwa wapo nyumbani msimu huu imeisha kwa wao kugawa dozi ya vipigo.

Leo wapo Taifa dhidi ya Lipuli ambayo imetoka kanda ya ziwa wakibeba alama tatu Baada ya kuifunga Klabu ngumu ya Mbao Msimu huu Katika mchezo wao wa mwisho uliopigwa CCM kirumba.

Mchezo unapigwa kwanzia saa 1 usiku na Yanga watajaribu kuendeleza record yao yakushinda nyumbani msimu huu na record ya kutokupoteza mchezo wowote Msimu huu Katika ligi kuu ya soka Tanzania Bara.

Related posts