Hatimaye Solar aanza vyema Bernabeu.

Hatimae Ushindi wa kwanza umepatikana kwa kocha wa muda wa Real Madrid Santiago Solar.

Ushindi mnono Real Madrid wanaupata ugenini pale Alvarez Claro nyumbani kwa Melilla Katika michuano ya Copa Del Rey.

Madrid wanaupata ushindi huo wa Magoli manne kwa bila kupitia Karim, Marco Asensio, Alvaro Odriozola na goli la nne lililofungwa na Cristo Gonzalez.

Related posts