MIA TANO HAMSINI NA TANO KUPOTEZA KIBARUA TTCL

Shirika la Mawasiliano #Tanzania (TTCL) litapunguza wafanyakazi 555 kwa lengo la kuboresha muundo wa shirika hilo, na kuongeza ufanisi katika utoaji huduma. Watakaopunguzwa ni wale ambao hawaendani na kasi ya teknolojia ya mawasiliano, na hawawezi kubadilika

Related posts