Ajibu na Tshishimbi kwenye hatihati kuwavaa Lipuli Kesho.

Kikosi cha Yanga kimeendelea na mazoezi yake Asubuhi ya leo Kuelekea Katika mchezo Wao wa Kesho wa ligi kuu ya soka Tanzania Bara dhidi ya Lipuli utakao pigwa Katika uwanja wa Taifa. Meneja wa Klabu Yanga beki na nahodha wa zamani wa Klabu hiyo Nadir Haroub Canavaro ameweka wazi kuwa maandalizi ya mchezo huo yanakwenda vyema. Kuhusu Tshishimbi na Ajibu hali zao zinaendelea vizuri lakini bado haijulikana kwamba watakuwa Sawa kwa mchezo wao Kesho. Yanga inashuka dimbani Kesho ikiwa mpaka sasa hawajapoteza mchezo wowote Katka ligi wakishika nafasi ya tatu…

Read More

MWALIMU ANASWA AKIFANYA MAPENZI NA MWANAFUNZI WAKE OFISINI 

Mwalimu mmoja wa shule ya msingi katika eneo la Njoro, kaunti ya Nakuru anazuiliwa na polisi kwa tuhuma za kumbaka mwanafunzi wake kwenye ofisi ya walimu.  Mwalimu huyo anadaiwa alimuita mwanafunzi huyo katika ofisi na kisha kumlazimisha kufanya naye mapenzi ikiwa ni siku chache kabla ya mwanafunzi huyo kuanza mtihani wa darasa la nane. Mwanafunzi huyo alikubali na wakaanza kutekeleza tukio hilo kabla ya mwalimu mmoja kushtukia na kutoa taarifa kwa uongozi ambao walifika na kufanikiwa kuwanasa wakiendelea na tukio hilo. Naibu wa chifu eneo hilo alithibitisha kuwa mwalimu huyo…

Read More

Hamilton katuma salamu za Shukran kwa waliomsapoti mpaka kuwa bingwa Formula 1 mwaka 2018.

Bingwa wa Dunia wa michuano ya Formula One Lewis Hamilton ameahidi kufanya makubwa kwa timu yake ya Mercedes nakuifanikisha kubeba mataji. Kupitia mtandao wa Twitter Lewis Hamilton ameweka video akiwashukuru waliomuunga mkono mpaka anakuwa Bingwa ikiwemo timu yake na akaeleza anaelekea Los Angeles akiwa na matumaini yakuwaona Mbwa wake na Kisha anarejea ulaya kukutana na timu. Lewis Hamilton Jana alishika nafasi ya nne Katika mbio za Mexican GP na kufanikiwa kuchukua taji la Dunia la Formula One 2018. Katika mbio hizo za Mexico Dereva wa Red Bull,  Max Verstappen alishika…

Read More

Kocha Nigeria angependa kuona Ademola Lookman anabadilisha Utaifa.

Kiongozi wa benchi la ufundi timu ya taifa ya Nigeria (The Super Eagles)  Gernot Rohr amefichua matumaini ya kumuona mshambuliaji wa Everton Ademola Lookman atafanya uwamuzi wa utaifa kwa kulitumikia taifa la Nigeria na sio England. Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 21 kwa sasa yupo timu ya vijana ya England na aliisaidia kutwaa kombe la Dunia la vijana mwaka uliopita. Hata hivyo Bado Lookman anaweza kucheza Katika taifa la Nigeria bado ana vigezo kwa sababu hajawahi kuitumikia timu ya wakubwa ya England. “Kwa sasa anacheza kwa upande wa vijana…

Read More

Pamba yawasha moto Nyamagana yawapiku watalii sasa Katika kundi FDL.

Klabu ya Pamba FC kutoka jijini Mwanza imefanikiwa kupata ushindi wa magoli 3-0 dhidi ya Mgambo shooting ya Tabora ukiwa ni mchezo wa Ligi daraja la kwanza Tanzania Bara ukipigwa Katika uwanja wa Nyamagana. Magoli ya Pamba yakifungwa na Ally athuman dk 10 goli la kujifunga la Christian mazula dk 21 na Kelvin John akiifungia Pamba Bao la tatu dk ya 31. Kwa Matokeo hayo Pamba imekwea kileleni Katika kundi B la michuano hii wakifikisha alama 9 Katika mechi nne ambazo wamecheza. Pamba inazipiku timu za Arusha United na Dodoma…

Read More

Mourinho chaguo la Raisi Madrid.

Huku mambo yakiwa si mazuri Katika klabu ya Real Madrid ambapo mpaka sasa kwenye michezo mitano ya mwisho waliocheza wameshinda mechi moja tu wakipokea vipigo vitatu na sare moja homa ya kutimuliwa Kocha wa timu hiyo Julen Lapotegui inazidi kupanda. Taarifa zimekuwa zikihusisha makocha kadhaa kuchukua kibarua cha kocho huyo wakihispania ambao ni Antonio Conte Kocha wa zamani wa Chelsea mwengine ni Wenger aliyekuwa kocha wa muda mrefu wa Arsenal. Huku Raisi wa zamani wa matajiri hao wa Jiji la Madrid Ramon Calderon anaamini mbwatukaji Jose Mourinho atarejea Katika klabu…

Read More

AMZABA MAKOFI MKEWE KWA KUTOPIKA UGALI

Bwana mmoja nchini ameripotiwa kumshambulia mkewe kwa makofi na ngumi kwa kosa la kutompikia ugali. Mwanaume huyo mkazi wa eneo la Embu siku ya tukio, inadaiwa kabla ya kwenda matembezini alimuachia mkewe ampikie ugali jambo ambalo halikufanywa baada ya mkewe kumwambia kuwa hakukuwa na unga. Hata hivo mwanaume huyo hakujali alichoambiwa na mkewe na ndipo akaondoka zake kabla ya kurejea na kuanziha fujo baada ya kukuta hakujapikwa ugali. Inadaiwa mwanaume huyo alifika na kuhitaji ugali bila mafanikio baada ya mkewe kumkalia kimya muda wote. Ukimya huo ulimghabisha jamaa huyo na…

Read More

Meneja wa jembe Fm Mr Fredy Kikoti ametangaza rasmi jembe Fm kuwasha mitambo ktk mikoa ya kanda ya ziwa.

Meneja wa jembe Fm Mr Fred Kikoti ametangaza rasmi jembe Fm kuwasha mitambo ktk mikoa ya kanda ya ziwa. Ameeleza pia kuhusu Jembeka Festival. “swala la #Jembekafestival kila kitu kipo tayari ,kulikuwa na changamoto ya sound na steji lakini sasa tunavyo hivyo tutawatangazia tarehe husika” Akaongeza kwa kusema “watu wamekuwa wanaomba @jembefm tufanye #Jembekafestival na Jembeka campus jam sasa ,,hivyo natangaza rasmi tunaanza na Jembeka campus jam kisha Jembeka festival” Lakini pia Amefungua rasmi tamasha la Jembeka Campus Jam, litakaloshirikisjha wanafunzi wa vyuo vyote vilivyopo jijini Mwanza. “Jembeka Campus jam…

Read More