Baada ya ukata wa Ushindi Ligi kuu Alliance wajipoozea kwa Singida United.

Hatimaye Klabu ya Alliance imefanikiwa kupata ushindi wake wa pili Katika michuano ya ligi kuu soka Tanzania Bara Baada kuwatandika Singida United goli 1-0 Katika uwanja wa Nyamagana.

Bao pekee la Alliance limefungwa na Martin Kigi dakika ya 3 ya niongeza Baada ya dakika 90 kukata timu zikiwa hazijagungana.

Hii ni point ya nne sasa anaipata kocha wa muda wa Alliance, Dadi ambaye mechi yake ya kwanza alipata sare ya 2-2 dhidi ya Costal Union.

Matokeo mengine ligi kuu soka Tanzania Bara Leo. 

 

Facebook Comments

Related posts