SITA WAPOTEZA MAISHA KWA AJALI PWANI

  Watu sita wamefariki dunia katika Kijiji cha Msata baaada ya gari aina ya Toyota Coster lenye namba za usajili T.124DHW iliyokuwa ikitokea Mkata kwenda Mbezi Dar es Salaam kugongana na Lori lenye namba za usajili KBV 746C/ZE2861 FAW. Kamanda wa police Mkoa wa Pwani Wankyo Nyegesa amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo . Facebook Comments

Facebook Comments

Read More

MAMA AMUUA MWANAE KWA KIPIGO AKIMTUHUMU KUIBA MAEMBE KWA JIRANI,

  Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza linamshikilia mwanamke mmoja aitwaye RAHEL MATALAKA, miaka 41, mkazi wa kijiji cha lugenge, kwa tuhuma za kumpiga hadi kumuua mtoto wake wa kiume aitwaye MALIATABU CONSTANTINE, miaka 10, mwanafunza wa darasa la pili shule ya msingi Ikeleg,Wilayani Misungwi. Tukio hilo la mauaji limetokea tarehe 03.11.2018 majira ya 1:00 jion, hii ni baada ya mama wa marehemu kupokea malalamiko kuwa mtoto wake alikua akiangusha na kuiba maembe kwa jirani. Ndipo mtuhumiwa alipatwa na hasira na kumpiga mtoto kwa kutumia fimbo sehemu mbalimbali za mwili…

Facebook Comments

Read More

Mark Hughes kikaangoni kwa watakatifu.

Mark Hughes ameripotiwa kukabiliwa na kufukuzwa kazi kama Southampton itashindwa kuifunga Watford siku ya Jumamosi. Soton inashika nafasi ya 16 katika msimamo wa Ligi kuu ya Uingereza wakiwa na pointi 7 baada ya mechi 11 mbili juu ya Fulham wanaoshika mkia. Wikiendi iliyopita walitoka kupokea kichapo kikubwa cha 6-1 kutoka kwa Man City. Facebook Comments

Facebook Comments

Read More

KIM KARDASHIAN: “RAY J Ni Muongo na amepitiliza….”

WATU WA MUNGU hakika mambo yanazidi kuwa moto kupita maelezo katika vita ya maneno kati ya Ma-Ex wawili ambao kipindi cha nyuma walikuwa katika mahusiano ya kimapenzi ya aina yake, hapa tunawazungumzia RAY J na KIM KARDASHIAN !!! Kama utakuwa ni mfuatiliaji mzuri wa Info na Life Style za mastaa hapa ulimwenguni, utakuwa unafahamu vema kabisa kuwa VIDEO ya Ngono ambayo ilivuja kunako mitandao kadha wa kadha ya kijamii ikimuonesha Kim Kardashian na Ray J, video ambayo pia ilipelekea kuvunjika kwa mahusiano ya wawili hao, huku tuhuma zikielekezwa kwa Kim…

Facebook Comments

Read More

Hatimaye FUTURE aweka hadharani Jinsia ya Mtoto wake Mtarajiwa

RAPPER FUTURE ni moja kati ya Rappers Nchini Marekani ambaye ana idadi kubwa kidogo ya watoto na hasa kila mmoja akiwa anatoka kwa mama yake, yaani sio watoto wa mama mmoja. Future ambaye alishutumiwa sana na bado anaendelea kushutumiwa sana kuhusu kutokutulia katika mahusiano yake ambayo anayaanzisha, amewahi pia kuwa na mahusiano na Msanii wa Kike wa R&B/POP, CIARA PRINCESS HARRIS maarufu kama “Ciara” na kufanikiwa kupata mtoto mmoja, lakini mahusiano yao hayakudumu kama walivyotatarajia baada ya Future “kuchepuka” Ukiachilia mbali suala hilo, Hatimaye Rapper huyo ambaye ni Hitmaker wa…

Facebook Comments

Read More

Baada ya miaka 10 Rwanda yamfyekelea mbali Niyonzima timu taifa.

Kiungo wa Klabu ya Simba Haruna Niyonzima,ameachwa kwenye kikosi cha timu ya taifa yaRwanda”Amavubi”,kinachojiandaa na mchezo wa kufuzu AFCON dhidi ya Afrika ya Kati. Takribani kwa miaka 10 kiungo huyo ajawahi kuachwa kwenye timu ya taifa. Facebook Comments

Facebook Comments

Read More

Rockets mambo si mabaya sasa washusha kipigo kwa Indiana.

Alfajiri ya leo Klabu ya Rockets imeendelea kujikongongoja Katika michuano ya mpira wa kikapu nchini Marekani NBA baada ya kuwacharaza Pacers kwa points 98-94 pale Bankers Life Fieldhouse. Matokeo ya ushindi kwa Rockets inaamana wanafikisha ushindi Katika Michezo minne kati ya Michezo 9 waliyoicheza mpaka sasa. Matokeo mengine ya NBA Leo     Facebook Comments

Facebook Comments

Read More