Baada ya miaka 10 Rwanda yamfyekelea mbali Niyonzima timu taifa.

Kiungo wa Klabu ya Simba Haruna Niyonzima,ameachwa kwenye kikosi cha timu ya taifa yaRwanda”Amavubi”,kinachojiandaa na mchezo wa kufuzu AFCON dhidi ya Afrika ya Kati.

Takribani kwa miaka 10 kiungo huyo ajawahi kuachwa kwenye timu ya taifa.

Facebook Comments

Related posts