KIM KARDASHIAN: “RAY J Ni Muongo na amepitiliza….”

WATU WA MUNGU hakika mambo yanazidi kuwa moto kupita maelezo katika vita ya maneno kati ya Ma-Ex wawili ambao kipindi cha nyuma walikuwa katika mahusiano ya kimapenzi ya aina yake, hapa tunawazungumzia RAY J na KIM KARDASHIAN !!!

Kama utakuwa ni mfuatiliaji mzuri wa Info na Life Style za mastaa hapa ulimwenguni, utakuwa unafahamu vema kabisa kuwa VIDEO ya Ngono ambayo ilivuja kunako mitandao kadha wa kadha ya kijamii ikimuonesha Kim Kardashian na Ray J, video ambayo pia ilipelekea kuvunjika kwa mahusiano ya wawili hao, huku tuhuma zikielekezwa kwa Kim Kardashian kuwa yeye ndiye aliyevujisha video hiyo kwa lengo la kupata umaarufu na kuvuna mkwanja.

SASA, mnamo NOVEMBER 01 akiwa jijini London kaika moja ya Party maalum akiwa anatambulisha brand new trcak yake ya “RIGHT ON TIME”, Ray J alianika masuala ya ndani kabisa hasa kipindi ambapo walikuwa wakifanya mapenzi yeye na Kim Kardashian.

Katika maelezo yake, Ray J alidai kuwa, Kim alikuwa ni bibie ambaye kwanza hakuwa anapenda kutokwa jasho wakati wa tendo la ndoa, hivyo alikuwa akijipiga “make Up” nyingi haswa ili tu asipate nafasi ya kutokwa na jasho

RAY J na KIM KARDASHIAN wakiwa pamoja kabla hawajaachana na kuanza kurushiana maneno mpaka hivi sasa

Pia katika kukazia zaidi,Ray J alidai kuwa, Kim Kardashian alikuwa na “Sex Toys” (Uume Bandia) nyingi sana kutoka katika Brand ya LOUIS VUITTON kitu ambacho kilikuwa kinamsumbua sana bwana Ray J, na kudai kuwa bado alikuwa anatumia pesa nyingi sana kwa ajili ya mavazi ya ndani aina ya G-STRINGS

MAJIBU YA KIM KARDASHIAN 

Baada ya kukutana na Info hizo hasa kupitia Mtandao wa Twitter ambapo mmoja kati ya wadau alilibainisha hilo, Kim ambaye hivi sasa ni Mke wa Kanye West na mama wa watoto wake, ameshauri  taarifa hizo kupuuziwa mara moja maana hazina ukweli wowote ule bali ni kutaka kumharibia kile ambaco anaendelea kukifanya katika maisha yake

Katika hatua nyingine, Kim ameongeza kuwa Ex wake huyo ni muongo kupitiliza, na hizo story ni kwamba kwake yeye zinaonekana kumchekesha kwa asilimia kubwa .

 

 

Facebook Comments

Related posts