Mark Hughes kikaangoni kwa watakatifu.

Mark Hughes ameripotiwa kukabiliwa na kufukuzwa kazi kama Southampton itashindwa kuifunga Watford siku ya Jumamosi.

Soton inashika nafasi ya 16 katika msimamo wa Ligi kuu ya Uingereza wakiwa na pointi 7 baada ya mechi 11 mbili juu ya Fulham wanaoshika mkia. Wikiendi iliyopita walitoka kupokea kichapo kikubwa cha 6-1 kutoka kwa Man City.

Facebook Comments

Related posts