Rockets mambo si mabaya sasa washusha kipigo kwa Indiana.

Alfajiri ya leo Klabu ya Rockets imeendelea kujikongongoja Katika michuano ya mpira wa kikapu nchini Marekani NBA baada ya kuwacharaza Pacers kwa points 98-94 pale Bankers Life Fieldhouse.

Matokeo ya ushindi kwa Rockets inaamana wanafikisha ushindi Katika Michezo minne kati ya Michezo 9 waliyoicheza mpaka sasa.

Matokeo mengine ya NBA Leo

 

 

Facebook Comments

Related posts