SITA WAPOTEZA MAISHA KWA AJALI PWANI

 

Watu sita wamefariki dunia katika Kijiji cha Msata baaada ya gari aina ya Toyota Coster lenye namba za usajili T.124DHW iliyokuwa ikitokea Mkata kwenda Mbezi Dar es Salaam kugongana na Lori lenye namba za usajili KBV 746C/ZE2861 FAW.

Kamanda wa police Mkoa wa Pwani Wankyo Nyegesa amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo .

Facebook Comments

Related posts