Hatimaye Dortmund waonja utamu wakipigo pale Metropolitano.

Usiku wa kuamkia leo Klabu ya Borussia Dortmund wamepoteza mechi yao ya kwanza mbele ya Atletico Madrid katika msimu huu wa 2018/2019.

Magoli ya Saul Niguez na Antoine Griezmann ndio yaliyowapa ushindi Atletico Madrid nyumabani Katika michuano ya UEFA Champions League.

Matokeo kamili ya UEFA Champions League 

Facebook Comments

Related posts