Kipigo kutoka kwa Mashetani wekundu cha weka historia kwa Vibibi kizee.

Klabu ya Manchester United usiku kuamkia hii imeishikisha adabu Juventus Baada ya kutoka nyuma na kushinda goli 2-1 katika michuano ya UEFA Champions League hatua ya makundi.

Ronaldo ndie alieipa Juve goli la kuongoza Katika dakika ya 65 lakini baadae mambo yakabadilika Baada ya Man U kupata goli la kusawazisha kupitia Juan Mata kwa Free kick na goli la kujifunga la Alex Sandro.

Kwa Matokeo haya Sasa ni kwamba Manchester United imevunja record ya kuwa Klabu ya kwanza kuifunga Juve kwenye hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa Ulaya tangu mwaka 2009.

Facebook Comments

Related posts