Basi la kampuni BM COACH linalofanya safari zake kati ya Morogoro – Kilimanjaro limepata ajali

Basi la kampuni BM COACH linalofanya safari zake kati ya Morogoro – Kilimanjaro limepata ajali wakati linashuka mteremko wa Mto Wami mita chache kabla ya daraja.

Kwa mujibu wa taarifa za awali hakuna majeruhi wala vifo katika ajali hiyo isipokuwa abiria wamepata mshtuko na taharuki

Ajali hiyo imesababishwa na hitilafu kwenye mfumo wa breki hali iliyopelekea basi hilo ligonge Lori lililokuwa kando ya barabara –

Facebook Comments

Related posts