MAJAMBAZI SABA WAUWAWA NA POLISI MWANZA

Watu saba wanaosadikika kuwa ni majambazi wameuawa katika majibizano ya risasi na jeshi la polisi jijini Mwanza.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Jonathan Shana amesema tukio hilo limetokea usiku wa kuamkia leo katika eneo la Kishiri.

Facebook Comments

Related posts