Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa amekiri kuwa alidanganya wabunge

Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa amekiri kuwa alidanganya wabunge waliokuwa wanachunguza ufisadi serikalini aliposema kuwa dola $35,000 zilizotumwa kwa akaunti yake kutoka kampuni ya Bosasa, zilikuwa ni malipo kwa ushauri wa mwanaye Andile.
Hata hivyo uchunguzi umebaini pesa hizo zilikuwa mchango kwa kampeni yake. Malipo hayo yakifanyika punde baada ya Kampuni hiyo kushinda zabuni kubwa ya serikali.
Je kampeini ya rais Ramaphosa dhidi ya rushwa na ufisadi imeingia doa?

Facebook Comments

Related posts