RAISI MAGUFULI ASAINI MKATABA MPYA WA KUFUA UMEME

Rais John Pombe Magufuli leo decemba 12 anasaini mkataba wa ujenzi wa mradi wa kufua umeme na maji katika Mto Rufiki kwa kushirikiana na nchi ya Misri ikulu jiji Dar es Salaam Rais Magufuli Ameeleza mradi utakapokamilika utaleta faida ya kuwa na umeme wa uhakika nchini na kuchochea sera ya Tanzania ya viwanda Rais Magufuli amefafanua Mradi huo pia utaleta chachu ya utunzaji mazingira hasa kuepuka matumizi ya kukata miti ovyo , kutumia kuni na mkaa nakuanza kutumia umeme katika shughuli mbalimbali Aidha Rais Magufuli ameeleza Katika kipindi cha miaka…

Facebook Comments

Read More

HOSPITALI YA BUGANDO KUPIMA WENYE SARATANI YA MATITI BURE.

Takwimu zinaonyesha kati ya wanawake laki moja ,wanawake 20 wanapata saratani ya matiti huku 20 kati ya wanawake hao wanafariki kutokana na ugonjwa huo Kwa kuliona hilo Hospitali ya Rufaa ya Bugando leo wanaanza kutoa huduma ya upimaji na upasuaji kwa wanawake wenye matatizo ya saratani ya matiti kwanzia hii leo mpaka tarehe 14 mwezi huu Hayo yameelezwa na Daktari bingwa wa upasuaji kutoka hospitali hiyo Dr Vihar Kotecha wakati akizungumza na jembe habari Ameeleza lengo la utoaji huduma hiyo wanawake wapate fursa ya kujua afya zao juu ya tatizo…

Facebook Comments

Read More

BARCELONA INAWEZA “KUMUIBA” KANE, KAMA ILIVYOTOKEA KWA RONALDO.

Christiano Ronaldo alichukuliwa toka ligi kuu ya soka nchini England na kuhamishiwa La Liga ya pale Spain sasa kocha Maurcio Pochettino anawaza hilo pia huwenda likatokea kwa Harry Kane. Maurcio Pochettino ansema Barcelona ama klabu nyingine itamuiba Harry Kane kutoka Tottenham. Kane amekuwa akiwindwa na Barcelona kwa kipindi kirefu huku klabu hiyo ikitafuta mchezaji atakaye kuwa mbadala wa muda mrefu wa Luis Suarez ambaye umri unamtupa mkono. Kocha wa Barcelona Ernesto Valverde amemzungumzia Kane kama mchezaji hatari kuelekea game yao leo katika michuano ya klabu bingwa Barani Ulaya mchezo utakao…

Facebook Comments

Read More

GOMEZ AFATA MKUMBO WA KINA SALAH NA MANE KATIKA HILI.

Baada ya kushuhudia siku kadhaa zilizopita mastaa wa klabu ya vijogoo wa jiji Liverpool wakiongeza mkataba kusalia kwenye klabu hiyo leo Joe Gomez kaongeza mkataba wa kusalia klabu hiyo kwa miaka mitano na nusu. Joe Gomez ambaye ni beki sasa atabaki Liverpool mpaka mwaka 2024. Gomez anaungana na mastar wengine kama Bob Firminho, Mo Salah na Sadio Mane ambao tayari washaongeza mikataba ya miaka mitano kila mmoja kusalia Anfield. Facebook Comments

Facebook Comments

Read More

UNAI EMERY AMWAGIA SIFA DE GEA KUIKOA UNITED NA KIPIGO.

Kocha wa klabu ya Arsenal Unai Emery ameweka wazi kwamba kikosi chake kilikosa furaha kushindwa kuifunga Manchester United kwenye Premier League siku ya jumatano usiku. Huwenda ungekuwa ushindi wa kwanza pale Old Trafford tangu mwaka 2006 kwa klabu ya The gunners lakini goli la Jesse Lingard likaifanikisha Man U kupata sare nyumbani. ”kwenye kipind cha pili, wachezaji wetu walicheza kutafuta ushindi, na nnafikiri tulikuwa karibu kupata goli la tatu lakini De Gea aliokoa mara mbili au tatu michomo ya maana”       Facebook Comments

Facebook Comments

Read More

SOUTHAMPTON YAMPATA KOCHA MPYA MWENYE UZOEFU NA SOKA LA UJERUMANI.

Ralph Hasenhuttl amechaguliwa kuwa kocha mpya wa klabu ya Southampton amayo kwa sasa ipo kwenye hali mbaya katika ligi kuu soka nchini England na amesaini mkataba wa miaka miwili na nusu. Kocha huyo wa zamani wa RB Leipzig anachukua mikoba ya Mark Hughes ambaye alitimuliwa siku ya jumatatu akiiacha klabu hiyo ya watakatifu ikiwa nafasi ya 18 kwenye msimamo. Mbali na kuifudisha RB Leipzig, kocha Hasenhuttl amewahi kuvifundisha vilabu vya SpVgg Unterhaching na Ingolstadt. Facebook Comments

Facebook Comments

Read More

MCHUNGAJI ASHAMBULIWA KWA MAWE AKITUHUMIWA KWA UCHAWI MKOANI KATAVI

Wananchi wakiwemo Waumini wavamia nyumba ya Mchungaji wa Kanisa la Sauti ya Uzima, Elia Zabron Balashika(36) maarufu ‘Nabii Elia’ raia wa Burundi na kuishambulia kwa mawe – Kamanda wa Polisi Mkoani humo, Damas Nyanda alisema tukio hilo lilitokea Mtaa wa Kazima Ringini Manispaa ya Mpanda ambapo Mchungaji huyo amekuwa akitoa huduma kwa miaka sita katika eneo hilo – Chanzo ni imani za ushirikina baada ya taarifa kuzagaa kuwa Nabia Elia aliweka ‘misukule’ watano nyumbani kwake ambao waumini wa kanisa walimtaka awatoe hadharani – Taarifa zilitolewa Polisi ambapo walifika eneo la…

Facebook Comments

Read More

KWA MARA YA KWANZA NDANI YA MIAKA 10 MODRIC AWEKA HISTORIA BALLON d’0r.

Luka Modric ameshinda tuzo ya Ballon d’Or 2018 akimpiku Christiano Ronaldo na Antoine Griezman huku Lionel Messi akikamata nafasi ya tano. Ni mara ya kwanza ndani ya miaka 10 kumkosa Ronaldo na Messi katika kuchukua tuzo hii yenye heshima kubwa katika soka inayotolewa na chama cha soka pale nchini Ufaransa. Harry Kane ni muingereza pekee kwenye orodha fupi ya wachezaji 30 bora wa Ballon d’Or akishika nafasi ya 10 baada ya kuchukua tuzo ya ufungaji bora katika michuano ya kombe la dunia 2018. Mwaka 2018 , Modric alishinda kombe la…

Facebook Comments

Read More

Mwanaharakati Nchini India, Mbaroni kwa picha ya Utupu

Mahakama moja nchini India 🇮🇳 imeamrisha mwanaharakati wa kihindi bi Rehana Fathima kukaa rumande siku 14 kwa kuchapisha picha hii ☝🏿kwenye mtandao wa Facebook. Polisi wanasema picha hii ni ya ”utupu”. Amewekwa rumande kwa siku 14 kuruhusu polisi wakamilishe uchunguzi. Je picha hii ya utupu? #chanzobbcswahili Facebook Comments

Facebook Comments

Read More

Kuelekea uchumi wakati na Tanzania ya viwanda Watanzania kunufaika na viwanda 3300

Kuelekea uchumi wakati na Tanzania ya viwanda watanzania wameelezwa kunufaika na viwanda 3300 vilivyosajiliwa hapa nchini. Hayo yamebainishwa na msemaji wa serikali Hassan Abass wakati akizungumza na wananchi wa Mkoa wa Mwanza kupitia Radio jembe katika kipindi maalum akifafanua utendaji kazi wa Rais Dr John Pombe Magufuli kwa miaka mitatu madarakani Amesema mpaka sasa wawekezaji wa ndani na nje ya nchi wameshajisajili katika uanzishwaji wa mradi huo wa viwanda ikiwa kuna viwanda vikubwa ,vya kati na vidogo ambavyo vitaweza kuwanufaisha watanzania katika nyanja mbalimbali hasa ajira Aidha dr Abass ameeleza…

Facebook Comments

Read More