Mwanaharakati Nchini India, Mbaroni kwa picha ya Utupu

Mahakama moja nchini India 🇮🇳 imeamrisha mwanaharakati wa kihindi bi Rehana Fathima kukaa rumande siku 14 kwa kuchapisha picha hii ☝🏿kwenye mtandao wa Facebook.
Polisi wanasema picha hii ni ya ”utupu”.
Amewekwa rumande kwa siku 14 kuruhusu polisi wakamilishe uchunguzi. Je picha hii ya utupu?
#chanzobbcswahili

Facebook Comments

Related posts