UNAI EMERY AMWAGIA SIFA DE GEA KUIKOA UNITED NA KIPIGO.

Kocha wa klabu ya Arsenal Unai Emery ameweka wazi kwamba kikosi chake kilikosa furaha kushindwa kuifunga Manchester United kwenye Premier League siku ya jumatano usiku.

Huwenda ungekuwa ushindi wa kwanza pale Old Trafford tangu mwaka 2006 kwa klabu ya The gunners lakini goli la Jesse Lingard likaifanikisha Man U kupata sare nyumbani.

”kwenye kipind cha pili, wachezaji wetu walicheza kutafuta ushindi, na nnafikiri tulikuwa karibu kupata goli la tatu lakini De Gea aliokoa mara mbili au tatu michomo ya maana”

 

 

 

Facebook Comments

Related posts