RAISI MAGUFULI ASAINI MKATABA MPYA WA KUFUA UMEME

Rais John Pombe Magufuli leo decemba 12 anasaini mkataba wa ujenzi wa mradi wa kufua umeme na maji katika Mto Rufiki kwa kushirikiana na nchi ya Misri ikulu jiji Dar es Salaam

Rais Magufuli Ameeleza mradi utakapokamilika utaleta faida ya kuwa na umeme wa uhakika nchini na kuchochea sera ya Tanzania ya viwanda

Rais Magufuli amefafanua Mradi huo pia utaleta chachu ya utunzaji mazingira hasa kuepuka matumizi ya kukata miti ovyo , kutumia kuni na mkaa nakuanza kutumia umeme katika shughuli mbalimbali

Aidha Rais Magufuli ameeleza Katika kipindi cha miaka mitatu mradi huo utakamilika na kutoa wito kwa mkandarasi kukamilisha mradi huo kwa wakati ili watanzania waweze kupata manufaa ya mradi huo.

Facebook Comments

Related posts